sw_tn/pro/31/10.md

12 lines
219 B
Markdown

# Ni nani anaweza kumpata mwanamke mwema?
"si wanaume wengi wanaoweza kumpata mwanamke mwema"
# thamani yake ni kuu kuliko marijani
"anathamani kuliko marijani"
# hatakuwa maskini
"daima atapata kile anachohitaji"