# Ni nani anaweza kumpata mwanamke mwema? "si wanaume wengi wanaoweza kumpata mwanamke mwema" # thamani yake ni kuu kuliko marijani "anathamani kuliko marijani" # hatakuwa maskini "daima atapata kile anachohitaji"