sw_tn/pro/28/19.md

24 lines
431 B
Markdown

# hufanya kazi kwenye ardhi yake
maana yake kulima , kupanda na kutunza mazao
# yeyote
mtu yeyote
# afuataye mambo yasiyofaa
mtu anayeshughulika na mambo ambayo hayazalishi chochote.
# atapata umaskini mwingi
"atakuwa maskini sana"
# yeye apataye utajiri kwa haraka hatakosa adhabu
"Mungu atamwadhibu yule ambaye hupata utajiri kwa haraka"
# yeye apataye utajiri kwa haraka
"yeye anayejaribu kupata utajira kwa haraka"