sw_tn/pro/27/26.md

24 lines
470 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
mistari 26 na 27inakwenda pamoja na mistari 23 hadi 25 kama mithali moja
# kondoo watakupa mavazi yako
"sufu za kondoo zitakupa vazi"
# mbuzi watakupa thamani ya shamba kwa ajili ya nyumba yako
"ukiuza mbuzi wako watakupa thamani ya shamba"
# kwa ajili ya nyumba yako
"kwa ajili ya familia yako yote"
# na chakula kwa ajili ya watumishi wsichana
"na kutakuwa na maziwa ya mbuzi kwa chakula cha watumishi wako wasichana"
# chakula
chakula