# Sentensi Unganishi mistari 26 na 27inakwenda pamoja na mistari 23 hadi 25 kama mithali moja # kondoo watakupa mavazi yako "sufu za kondoo zitakupa vazi" # mbuzi watakupa thamani ya shamba kwa ajili ya nyumba yako "ukiuza mbuzi wako watakupa thamani ya shamba" # kwa ajili ya nyumba yako "kwa ajili ya familia yako yote" # na chakula kwa ajili ya watumishi wsichana "na kutakuwa na maziwa ya mbuzi kwa chakula cha watumishi wako wasichana" # chakula chakula