sw_tn/pro/27/17.md

12 lines
297 B
Markdown

# chuma hunoa chuma; katika njia hiyo hiyo, mtu humnoa rafiki yake
" Kama chuma kinaweza kunoa kipande kingine cha chuma, hivyo tabia ya mtu huendelezwa kwa uongozi wa rafiki yake"
# atunzaye
"hudumia, jali"
# yeye amlindaye bwana wake ataheshimiwa
"bwana atamheshimu yeye ambaye humlinda"