# chuma hunoa chuma; katika njia hiyo hiyo, mtu humnoa rafiki yake " Kama chuma kinaweza kunoa kipande kingine cha chuma, hivyo tabia ya mtu huendelezwa kwa uongozi wa rafiki yake" # atunzaye "hudumia, jali" # yeye amlindaye bwana wake ataheshimiwa "bwana atamheshimu yeye ambaye humlinda"