sw_tn/pro/26/24.md

28 lines
713 B
Markdown

# huficha hisia zake kwa midomo yake
"huficha hisia zake kwa namna anavyoongea" au " huongea kwa jinsi ambayo watu hawawezi kufahamu hisia zake za kweli"
# huweka uongo ndani yake mwenyewe
"kwa hila hupanga kuumiza watu"
# lakini hamwamini
"lakini haamini kile anachosema"
# maana kuna machukizo saba katika moyo wake
"moyo wake umejaa mambo ya chuki" au "maana moyo wake umejaa chuki"
# Ingawa chuki yake imefichwa kwa uongo
"ingawa uongo wake umefunikwa kwa chuki" au "Ingawa hufunika chuki yake kwa uongo"
# Ingawa chuki yake imefichwa kwa uongo
"Ingawa hudanganya kuhifadhi chuki yake ili watu wasijue" au "Ingawa hudanganya ili watu wasijue ya kuwa anawachukia"
# kusanyiko
"jamii ya waisraeli"