forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
638 B
Markdown
24 lines
638 B
Markdown
# maneno ya umbeya ni kama chembe tamu
|
|
|
|
"maneno ya umbeya hutamanisha kusikiliza"
|
|
|
|
# hushuka chini katika sehemu za ndani ya mwili
|
|
|
|
"na huingia katika akili ya mtu na kuyaathiri mawazo yake"
|
|
|
|
# kama rangi ya kioo iliyofunikwa kwenye chombo cha udogo ndivyo vilivyo midomo iwashayo na moyo wa uovu
|
|
|
|
"Watu wenye midomo ya kuwasha na mioyo ya uovu wapo kamachombo cha udongo kilichofunikwa kwa rangi ya kung'aa"
|
|
|
|
# rangi ya kioo iliyofunikwa kwenye chombo cha udogo
|
|
|
|
"kioo chenye kungara ambacho hufunika chungu cha udongo"
|
|
|
|
# midomo iwashaya
|
|
|
|
"kauli yenye hisia" au "kusema vitu vizuri"
|
|
|
|
# moyo wa uovu
|
|
|
|
"mawazo mabaya" au "tamaa mbaya"
|