sw_tn/pro/26/05.md

20 lines
572 B
Markdown

# mjibu mpumbavu na ujiunge katika upumbavu wake
mjibu mpumbavu kulingana na aupumbavu wake " au "mjibu mpumbavu kipumbavu"
# hivyo hatakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe
"hivyo hawezi kuwa mwenye busara kwa mtazamo wake" au "hivyo hafikirii wenyewe kuwa ni mwenye busara"
# yeye apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu
"yeye anayemtuma mpumbavu kupeleka ujumbe"
# hukata miguu yake mwenyewe na kunywa vurugu
"hujiumiza mwenyewe kama mtu anayejikata miguu yake na kunywa vurugu"
# kunywa vurugu
vurugu inaonelewa kama kimiminika ambach o mtu anaweza kunywa.