# mjibu mpumbavu na ujiunge katika upumbavu wake mjibu mpumbavu kulingana na aupumbavu wake " au "mjibu mpumbavu kipumbavu" # hivyo hatakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe "hivyo hawezi kuwa mwenye busara kwa mtazamo wake" au "hivyo hafikirii wenyewe kuwa ni mwenye busara" # yeye apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu "yeye anayemtuma mpumbavu kupeleka ujumbe" # hukata miguu yake mwenyewe na kunywa vurugu "hujiumiza mwenyewe kama mtu anayejikata miguu yake na kunywa vurugu" # kunywa vurugu vurugu inaonelewa kama kimiminika ambach o mtu anaweza kunywa.