|
# Kwa uvumilivu mtawala anaweza kushawishiwa
|
|
|
|
"Mtu mwenye uvumilivu anaweza kumshawishi mtawala" au "mtu mwenye uvumilivu anaweza kuongea kwa mtawala na kuyabadilisha mawazo yake"
|
|
|
|
# ulimi laini unaweza kuvunja mfupa
|
|
|
|
"kauli ya upole inaweza kushinda upinza imara"
|