# Kwa uvumilivu mtawala anaweza kushawishiwa "Mtu mwenye uvumilivu anaweza kumshawishi mtawala" au "mtu mwenye uvumilivu anaweza kuongea kwa mtawala na kuyabadilisha mawazo yake" # ulimi laini unaweza kuvunja mfupa "kauli ya upole inaweza kushinda upinza imara"