forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
502 B
Markdown
20 lines
502 B
Markdown
# kuficha jambo
|
|
|
|
"kuyahifadhi baadhi ya mambo ya siri"
|
|
|
|
# lakini utukufu
|
|
|
|
"lakini ni utukufu"
|
|
|
|
# kuchunguza
|
|
|
|
"hulichunguza jambo" au "hufanya uchunguzi kwa mambo ambayo Mungu ameyaficha"
|
|
|
|
# Kama mbingu ni kwa ajili ya kimo na dunia ni kwa ajili ya kina, ndivyo moyo wa wafalme usivyochunguzika
|
|
|
|
"Hakuna mtu wenye kuweza kupima kimo cha mbingu au kina cha dunia, hata hakuna mtu anawezakuufahamu moyo wa wafalme"
|
|
|
|
# mbingu
|
|
|
|
Hii ni jula ya vitu vyote tunavyoviona angani pamoja na jua, mwezi, na nyota.
|