sw_tn/pro/24/32.md

16 lines
352 B
Markdown

# nikapokea mafundisho
"nilijifunza somo"
# usingizi kidogo ....kwa kupumzika -na umaskini huja
"unaweza kujisemea mwenyewe, usingizi kidogo ...kwa kupumzika-lakini unasikini utakuja"
# umaskini huja juu yako
"umaskini huja juu yako kama mwivi"
# mahitaji yako kama askari mwenye silaha
"mahitaji yako yatakuja kwako kama askari mwenye silaha"