# nikapokea mafundisho "nilijifunza somo" # usingizi kidogo ....kwa kupumzika -na umaskini huja "unaweza kujisemea mwenyewe, usingizi kidogo ...kwa kupumzika-lakini unasikini utakuja" # umaskini huja juu yako "umaskini huja juu yako kama mwivi" # mahitaji yako kama askari mwenye silaha "mahitaji yako yatakuja kwako kama askari mwenye silaha"