sw_tn/pro/24/17.md

16 lines
305 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# adui yako huanguka
" jambo baya hutokea kwa adui yako"
# moyo wako usifurahi
"usifurahi" " au "jizuie usije ukafuraha"
# geuza ghadhabu yake kutoka kwake
"kuacha kuwa na hasira juu yake na kukukasirikia wewe badala yake"