# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # adui yako huanguka " jambo baya hutokea kwa adui yako" # moyo wako usifurahi "usifurahi" " au "jizuie usije ukafuraha" # geuza ghadhabu yake kutoka kwake "kuacha kuwa na hasira juu yake na kukukasirikia wewe badala yake"