sw_tn/pro/24/07.md

12 lines
201 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# juu sana kwa ajili ya mpumbavu
Hii ni nahau " ni vigumu sana kwa mpumbavu kufahamu"
# hufumbua kinywa chake
"huongea"