# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # juu sana kwa ajili ya mpumbavu Hii ni nahau " ni vigumu sana kwa mpumbavu kufahamu" # hufumbua kinywa chake "huongea"