sw_tn/pro/23/31.md

24 lines
438 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# Mwishoni
"baada ya kunywa"
# huuma kama nyoka ...choma kama kifutu
" hukufanya ujisikie vibaya kama umeumwa nyoka au kama kifutu amekuchoma"
# kifutu
aina ya nyoka mwenye sumu
# moyo wako utasema vitu vya kupotosha
"utafikiri na kuamua vitu vya kupotosha"
# vitu vya kupotosha
vitu ambayo Mungu amevitaja kuwa vibaya na viovu ; vitu ambavyo havifai