sw_tn/pro/23/26.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# nipe moyo wako
"nisikmalaya ilize kwa makini" au "nitumaini kabisa"
# macho yako yatazame
" zingatia sana"
# malaya...mwanamke mwasherati
Kuna aina mbili za wanawake washerati. "malaya" ni mwanamke ambaye hajaolewa, au "mke wa mume mwingine aliyeolewa. kwa pamoja wanaunda namna ya mwanamke mwasherati.
# malaya ni shimo refu
"kulala na malaya ni kama kudumbukia kwenye shimo refu "
# malaya
Huyu ni mwanamke ambaye hajaolewa anayefanya mambo ya ngono, wala si wale tu ambao hufanya ngono kwa ajili ya pesa.
# shimo refu...kisima chembamba
Sehemu hizi mbili ni rahisi kutumbukia na vigumu kutoka "shimo" kwa sababu ni "refu" na "kisima" kwa kuwa ni "chembamba"
# mwanamke mwasherati ni kisima chembamba
"kulala na mke wa mume mwingine ni kama kuangukia ktika kisima chembamba"
# kisima
shimo katika ardhi ambalo watu huchimba kwa ajili ya kupata maji
# huvizia
kukaa kwa kujificha na kuwa tayari kushambulia mhanga napofika
# mdanganyifu
"watu wadanganyifu" au "wale ambao huwadhuru wengine kwa kwa kuwadanganya"