sw_tn/pro/23/04.md

20 lines
403 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# usifanye kazi kwa nguvu sana
"usifanye kazi sana kiasi kwamba uwe na uchovu kila siku"
# yatamulika juu yake
....kuutamaza utajiri kwa kipindi kifupi
# hakika utajiri utajitwalia mabawa kama tai na kuruka juu
"utajiri utapotea kwa haraka kama vile tai anavyoweza kuruka"
# mabawa kama tai
mabawa kama mabawa ya tai