# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # usifanye kazi kwa nguvu sana "usifanye kazi sana kiasi kwamba uwe na uchovu kila siku" # yatamulika juu yake ....kuutamaza utajiri kwa kipindi kifupi # hakika utajiri utajitwalia mabawa kama tai na kuruka juu "utajiri utapotea kwa haraka kama vile tai anavyoweza kuruka" # mabawa kama tai mabawa kama mabawa ya tai