sw_tn/pro/22/15.md

24 lines
389 B
Markdown

# upumbavu umefungwa katika moyo wa mtoto
"moyo wa mtoto umejaa mambo ya kipumbavu"
# fimbo ya adabu
mzazi kutumia namna yoyote ili kuadibisha kama vile kumchapa mtoto kwa fimbo.
# huondoa
"itamfanya mtoto kuwa na busara"
# kuongeza utajiri wake
"kuwa tajiri" au " kupata pesa zaidi"
# kuwapa watu matajiri
"kuwapa pesa watu matajiri"
# atakuwa maskini
Nahau "atakuwa maskini"