# upumbavu umefungwa katika moyo wa mtoto "moyo wa mtoto umejaa mambo ya kipumbavu" # fimbo ya adabu mzazi kutumia namna yoyote ili kuadibisha kama vile kumchapa mtoto kwa fimbo. # huondoa "itamfanya mtoto kuwa na busara" # kuongeza utajiri wake "kuwa tajiri" au " kupata pesa zaidi" # kuwapa watu matajiri "kuwapa pesa watu matajiri" # atakuwa maskini Nahau "atakuwa maskini"