sw_tn/pro/20/15.md

20 lines
504 B
Markdown

# midomo ya maarifa ni marijani ya thamani
"midomo yenye maarifa inathamani kama marijani ya gharama sana"
# midomo ya maarifa
"maneno yenye busara" au "maneno ya maarifa"
# chukua vazi lake yeye ambaye ameliweka dhamana kwa ajili ya mgeni
"chukua vazi kama dhamana kutoka kwa mdhamini wa mgeni ambaye ameahidi kulipa kwa kitu achoazima mgeni"
# ameliweka dhamana
"dhamini kuwa kilichoazimwa kitarudishwa" au "ahidi kulipa deni"
# shikilia rehani
" shikilia koti lake kama dhamana ya malipo"