# midomo ya maarifa ni marijani ya thamani "midomo yenye maarifa inathamani kama marijani ya gharama sana" # midomo ya maarifa "maneno yenye busara" au "maneno ya maarifa" # chukua vazi lake yeye ambaye ameliweka dhamana kwa ajili ya mgeni "chukua vazi kama dhamana kutoka kwa mdhamini wa mgeni ambaye ameahidi kulipa kwa kitu achoazima mgeni" # ameliweka dhamana "dhamini kuwa kilichoazimwa kitarudishwa" au "ahidi kulipa deni" # shikilia rehani " shikilia koti lake kama dhamana ya malipo"