sw_tn/pro/19/19.md

24 lines
412 B
Markdown

# mtu mwenye hasira
"mtu ambaye hupata hasira upesi"
# lazima alipe malipo ya kosa
" lazima apate madhara ya hasira yake" au "lazima abebe matokeo ya matendo yake wakati wa hasira"
# kama utamwokoa
" kama utamaidia baada ya kupata hasira yake ya ghafla"
# mara ya pili
"mara mbili" au "tena"
# sikiliza ushauri na ukubali maelekezo
haya ni maneno ya kusisitiza umuhimu.
# sikiliza
"zingatia ushauri"