sw_tn/pro/19/05.md

16 lines
315 B
Markdown

# shahidi wa uongo hatakosa kuadhibiwa
"hakika watamwadhibu shahidi wa uongo"
# yeye ambaye hunong'ona uongo hataokoka
"watamkamata mtu yule ambaye hunong'ona uongo"
# mtu mkarimi
mtu ambaye mara nyingi hutoa vitu
# kila mtu ni rafiki
"huonekana kwamba kila mtu ni rafiki" au "karibia kila mtu ni rafiki"