# moyo wake hukasirika
moyo unawakilisha hisia zake " hughadhabika"
# utajiri huongeza marafiki wengi
"wale wenye ukwasi hupata marafiki wengi kwa urahisi"
# mtu maskini hutengwa na marafiki zake
"umaskini husababisha mtu kupoteza marafiki zake"