# moyo wake hukasirika moyo unawakilisha hisia zake " hughadhabika" # utajiri huongeza marafiki wengi "wale wenye ukwasi hupata marafiki wengi kwa urahisi" # mtu maskini hutengwa na marafiki zake "umaskini husababisha mtu kupoteza marafiki zake"