sw_tn/pro/18/11.md

32 lines
579 B
Markdown

# mali ya tajiri ni mji wake wenye ulinzi
"mtu tajiri hutegemea mali yake kama mji unavyotegema ukuta wake"
# tajiri
"mtu tajiri"
# mji wake wenye ulinzi
mji wenye ulinzi imara kama ukuta na mnara
# katika mawazo yake ni kama ukuta mrefu
"hudhani utampatia ulinzi kama ukuta mrefu"
# kabla ya anguko lake moyo wa mtu hujivuna
"kwanza moyo wa mtu hujivuna, lakini baadaye huja anguko lake"
# anguko
hushuka kwa heshima ya mtu au afya
# moyo wa mtu
mawazo na hisia za mtu
# unyenyekevu huja kabla ya heshima
"mtu lazima awe mnyenyekevu kabla ya kuweza kuheshimiwa"