# mali ya tajiri ni mji wake wenye ulinzi "mtu tajiri hutegemea mali yake kama mji unavyotegema ukuta wake" # tajiri "mtu tajiri" # mji wake wenye ulinzi mji wenye ulinzi imara kama ukuta na mnara # katika mawazo yake ni kama ukuta mrefu "hudhani utampatia ulinzi kama ukuta mrefu" # kabla ya anguko lake moyo wa mtu hujivuna "kwanza moyo wa mtu hujivuna, lakini baadaye huja anguko lake" # anguko hushuka kwa heshima ya mtu au afya # moyo wa mtu mawazo na hisia za mtu # unyenyekevu huja kabla ya heshima "mtu lazima awe mnyenyekevu kabla ya kuweza kuheshimiwa"