sw_tn/pro/17/07.md

16 lines
406 B
Markdown

# kauli ya kushawishi
"kauli nzuri"au "kauli nzuri"
# midomo ya uongo haifai kabisa kwa mkuu
"Haifai kabisa kwa mkuu kudanganya"
# hongo ni kama jiwe la miujiza kwa yule atoaye
"hongo hufanyakazi kama jiwe la miujiza kwa yule anayeitoa" au "hongo hufanya kazi kama jiwe la miujiza kwa yule anayetoa rushwa"
# kila anapogeuka
" kwa kila anachofanya" au "kila anachojaribu kufanya kwa kutoa hongo"