# kauli ya kushawishi "kauli nzuri"au "kauli nzuri" # midomo ya uongo haifai kabisa kwa mkuu "Haifai kabisa kwa mkuu kudanganya" # hongo ni kama jiwe la miujiza kwa yule atoaye "hongo hufanyakazi kama jiwe la miujiza kwa yule anayeitoa" au "hongo hufanya kazi kama jiwe la miujiza kwa yule anayetoa rushwa" # kila anapogeuka " kwa kila anachofanya" au "kila anachojaribu kufanya kwa kutoa hongo"