sw_tn/pro/16/11.md

610 B

Vipimo vya kweli hutoka kwa Yahwe

Yahwe anataka haki na fadhila wakati wa kufanya biashara. Watu ambao si waadilifu hutumia vipimo vizito au vyepesi katika vipimo vyao ili kupata zaidi wanaponunua au kuuza.

vipimo vyote katika begi ni vya kwake

  1. Yahwe tayari amebainisha namna kila kipimo kitakavyo pima 2) Yahwe anahusika kwa kila kipimo abacho mfanyabiashara hutumia.

hicho ni kitu cha kudharauliwa

"hicho ni kitu ambacho watu hukidharau" au "hilo ni jambo ambalo Yahwe hulichukia"

maana kiti cha enzi huthibitishwa kwa kutenda haki

"maana mfalme huthibitisha utawala wake kwa kutenda haki"