forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
610 B
Markdown
16 lines
610 B
Markdown
|
# Vipimo vya kweli hutoka kwa Yahwe
|
||
|
|
||
|
Yahwe anataka haki na fadhila wakati wa kufanya biashara. Watu ambao si waadilifu hutumia vipimo vizito au vyepesi katika vipimo vyao ili kupata zaidi wanaponunua au kuuza.
|
||
|
|
||
|
# vipimo vyote katika begi ni vya kwake
|
||
|
|
||
|
1) Yahwe tayari amebainisha namna kila kipimo kitakavyo pima 2) Yahwe anahusika kwa kila kipimo abacho mfanyabiashara hutumia.
|
||
|
|
||
|
# hicho ni kitu cha kudharauliwa
|
||
|
|
||
|
"hicho ni kitu ambacho watu hukidharau" au "hilo ni jambo ambalo Yahwe hulichukia"
|
||
|
|
||
|
# maana kiti cha enzi huthibitishwa kwa kutenda haki
|
||
|
|
||
|
"maana mfalme huthibitisha utawala wake kwa kutenda haki"
|