sw_tn/pro/15/29.md

16 lines
399 B
Markdown

# Yahwe yupo mbali kutoka kwa watu waovu
"Yahwe awasikilizi watu waovu" au " Yahwe hawajibu watu waovu"
# nuru ya macho
"kuonesha hisia za uchangamfu"
# huleta furaha kwenye moyo
"mtu mwenye hisia za kuchangamka kwa sababu ya furaha" au "watu hupata furaha wanapomwona mtu mwenye hisia za uchangamfu"
# habari njema ni afya kwenye mwili
"kupokea habari njema husababisha mtu ajisikie vizuri"