# Yahwe yupo mbali kutoka kwa watu waovu "Yahwe awasikilizi watu waovu" au " Yahwe hawajibu watu waovu" # nuru ya macho "kuonesha hisia za uchangamfu" # huleta furaha kwenye moyo "mtu mwenye hisia za kuchangamka kwa sababu ya furaha" au "watu hupata furaha wanapomwona mtu mwenye hisia za uchangamfu" # habari njema ni afya kwenye mwili "kupokea habari njema husababisha mtu ajisikie vizuri"