sw_tn/pro/15/17.md

24 lines
345 B
Markdown

# mlo wenye mboga
"mlo kidogo" au "chakula kidogo"
# ambapo kuna upendo
" ambapo watu wanapendana kila mmoja"
# huduma ya ndama aliyenona pamoja na chuki
"kutengewa ndama aliyenona kwa chuki"
# ndama aliyenona
"mlo wa gharama' au "sherehe"
# kwa chuki
"ambapo watu huchukiana"
# huchochea mabishano
"husababisha watu kubishana zaidi"