# mlo wenye mboga "mlo kidogo" au "chakula kidogo" # ambapo kuna upendo " ambapo watu wanapendana kila mmoja" # huduma ya ndama aliyenona pamoja na chuki "kutengewa ndama aliyenona kwa chuki" # ndama aliyenona "mlo wa gharama' au "sherehe" # kwa chuki "ambapo watu huchukiana" # huchochea mabishano "husababisha watu kubishana zaidi"