sw_tn/pro/15/15.md

16 lines
302 B
Markdown

# siku zote za watu walidhulumiwa ni taabu
"watu waliokandamizwa wanataabu katika siku zao zote"
# moyo mchangamfu unasikukuu bila kikomo
"mtu mchangamfu hufurahia maisha, kana kwamba anasherehekea sherehe isiyokuwa na mwisho"
# unasikukuu bila kikomo
"sikukuu za daima"
# mafadhaiko
"wasiwasi"