# siku zote za watu walidhulumiwa ni taabu "watu waliokandamizwa wanataabu katika siku zao zote" # moyo mchangamfu unasikukuu bila kikomo "mtu mchangamfu hufurahia maisha, kana kwamba anasherehekea sherehe isiyokuwa na mwisho" # unasikukuu bila kikomo "sikukuu za daima" # mafadhaiko "wasiwasi"