sw_tn/pro/14/19.md

12 lines
245 B
Markdown

# huinama chini
kuinama kwa unyenyekevu kuonesha adabu na heshima kwa mtu
# kwenye malango ya mwenye haki
"kuonana na mtu mwenye haki"
# mtu maskini huchukiwa hata na rafiki zake mwenyewe
"kila mmoja humchukia mtu maskini hata jirani zake"