# huinama chini kuinama kwa unyenyekevu kuonesha adabu na heshima kwa mtu # kwenye malango ya mwenye haki "kuonana na mtu mwenye haki" # mtu maskini huchukiwa hata na rafiki zake mwenyewe "kila mmoja humchukia mtu maskini hata jirani zake"