sw_tn/pro/14/07.md

16 lines
278 B
Markdown

# kwenye midomo yake
"kwa kauli zake" au "kwa ushauri wake"
# busara
mtu mwenye maamuzi mazuri au akili
# njia yake mwenyewe
"mwenendo wake" au "namna ya maisha yake"
# upumavu wa wapumbavu ni udanganyifu
upumbavu wa wapumbavu ni kufikiri kuwa wanabusara, wakati hawana.