# kwenye midomo yake "kwa kauli zake" au "kwa ushauri wake" # busara mtu mwenye maamuzi mazuri au akili # njia yake mwenyewe "mwenendo wake" au "namna ya maisha yake" # upumavu wa wapumbavu ni udanganyifu upumbavu wa wapumbavu ni kufikiri kuwa wanabusara, wakati hawana.