sw_tn/pro/11/27.md

16 lines
289 B
Markdown

# yule ambaye hutafuta kwa bidii
yule ambaye hutafuta kwa uangalifu na bidii
# ataanguka
"ataangamizwa"
# kama jani, watu wenye haki watasitawi
"watu wenye haki watafanikiwa kwa namna ile ile ambayo jani lenye afya hustawi"
# watu wenye haki watasitawi
watu wenye haki watafanikiwa