sw_tn/pro/11/03.md

8 lines
217 B
Markdown

# waongo
"watu waongo" au "wale ambao ni waongo"
# Utajiri ni ubatili kwenye siku ya ghadhabu
siku ya ghadhabu ni "siku ya hukumu" au "siku za mwisho". "utajiri wa mtu hatamsaidi wakati Mungu atakapokuja kuhukumu"